25 May 2026 10:43 am | Citizen TV 2,283 views Duration: 3:25 Viongozi mbalimbali sasa wanamtaka Katibu Mkuu wa United Democratic Alliance Hassan Omar kujiuzulu au kuondolewa katika wadhifa wake kutokana na matamshi yake yaliyolenga jamii kutoka eneo la Mlima Kenya.