Skip to main content
Skip to main content

Viongozi waunga mkono serikali wampigia debe Ruto Ukambani

  • | Citizen TV
    2,252 views
    Duration: 1:46
    Viongozi wanaounga mkono serikali wameanza kumpigia debe Rais William Ruto Ukambani. Kiongozi Kaki amesema Ruto anahitaji muda zaidi kukamilisha miradi ya maendeleo