- 231 viewsDuration: 1:10Uhaba wa maji safi katika baadhi ya maeneo ya wadi ya hospital, kaunti ya Trans Nzoia, wachangia kuongezeka kwa maradhi yatokanayo na matumizi ya maji machafu, huku serikali na wadau wakitakiwa kuharakisha juhudi za kuhakikisha wakazi wapata maji salama.