Skip to main content
Skip to main content

Vita dhdidi ya pombe haramu Kapsabet

  • | Citizen TV
    447 views
    Duration: 1:22
    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza mpango wa siku 100 wa kupambana na matumizi mabaya ya pombe na dawa za kulevya nchini, vyombo vya usalama katika Kaunti ya Nandi vimepigwa jeki kwa gari la polisi litakalotumika katika operesheni za kudhibiti janga hilo.