16 Sep 2026 2:11 pm | Citizen TV 16 views Huduma za matibabu katika Wadi ya Magadi Kaunti ya Kajiado zinatarajiwa kupata jeki kubwa baada ya vituo vinne vya afya kutarajiwa kufunguliwa Jumatano hii.