- 11,151 viewsDuration: 3:19Vurugu zilishuhudiwa katika eneo la Kariobangi North baada ya makundi mawili kukabiliana wakati kinara wa DCP Rigathi Gachagua alipokuwa akihudhuria ibada eneo hilo. Watu kadhaa walijeruhiwa huku maafisa wa usalama wakilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya makundi hayo. Viongozi wa upinzani wamekashifu matukio haya