Skip to main content
Skip to main content

Vyuo vikuu vya umma vyasajili wanafunzi bila mwongozo wa karo

  • | Citizen TV
    908 views
    Duration: 1:21
    Vyuo vikuu vya umma nchini vimejipata kwenye njia panda vikilazimika kuwasajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza bila kuwa na mwongozo rasmi wa karo. Katika chuo kikuu cha Eldoret, imewasajili wanafunzi 8,000 ilhali kuna nafasi 2,000 pekee za malazi. Naibu chansela wa chuo hicho Thomas Cheruiyot amesema kuwa mfumo mpya wa ufadhili wa wanafunzi utasalia kutekelezwa kwa wanafunzi wengine huku serikali ikisubiriwa kutangaza mwanzo wa mfumo mpya. vyuo vikuu bado havijapata mwongozo kuhusu karo.