Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa maandamano waanza kupokea fidia

  • | Citizen TV
    452 views
    Duration: 2:11
    Wiki mbili baada ya serikali kuanza mchakato wa kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano, baadhi yao tayari wamepokea malipo hayo. Hata hivyo, baadhi ya familia zilizofidiwa zimeitaka serikali kuhakikisha mauaji na mashambulizi yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano hayajirudii tena. Kwa mujibu wa serikali, hadi kufikia sasa waathiriwa 505 wamefidiwa jumla ya shilingi milioni 674, huku zoezi la ulipaji wa fidia likiendelea. Gatete Njoroge anaripoti.