Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa maandamano wakongamana KICC kupaza sauti zao kuhusiana na kuchelewa kupata fidia

  • | NTV Video
    127 views
    Duration: 2:09
    Familia za waathiriwa wa ukatili wa polisi na wanaharakati wanaopinga ukatili huo haswa wakati wa maandamano na hadhara za kisiasa wamekongamana katika ukumbi wa KICC kupaza sauti zao kuhusiana na kuchelewa kupata fidia na haki kwa waliokuwa wameahidiwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya