11 Sep 2026 10:08 am | Citizen TV 466 views Duration: 1:59 Waathiriwa wa zoezi la kuwaondoa watu katika Msitu wa Mau wanataka orodha ya waliolipwa fidia itolewe hadharani. Baadhi ya walalamishi wanadai kuwa orodha hiyo haikuzingatia haki.