20 Aug 2026 1:50 pm | Citizen TV 193 views Duration: 1:19 Mchakato wa kuangazia masuala ya afya umepigwa upatu na wadau katika sekta ya afya mjini bungoma huku serikali ikitakiwa kuhakikisha usawa katika utoaji wa huduma katika sekta zote.