23 Dec 2025 1:38 pm | NTV Video 276 views Duration: 1:38 Hospitali binafsi zina jukumu muhimu katika mageuzi ya sekta ya afya chini ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), zikisaidia kupunguza msongamano katika hospitali za umma na kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wananchi.