- 1,464 viewsDuration: 2:20Washika dau wa elimu katika eneo bunge la kabondo kasipul kaunti ya Homa bay, wanaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanafunzi wako salama mvua ya el nino inapowadia. wanafunzi wanatahadharishwa kutozuru sehemu hatari wakati wa mafuriko.