Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa kilimo Narok watabiri ongezeko la uzalishaji baada ya maonyesho

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 2:16
    Washika dau katika kilimo, ufugaji na utunzaji wa mazingira wameelezea matumaini ya mazao zaidi baada ya kukamilika kwa maonyesho ya kilimo ya Kaunti ya Narok.