9 Jun 2026 1:51 pm | Citizen TV 395 views Duration: 1:49 Washika dau katika maswala ya mazingira na bahari wataka wananchi kua waangalifu na kutotupa bidhaa za plastiki kiholela wakisema zinaendelea kuadhiri ekolojia na maisha ya viumbe baharini.