10 Jul 2026 12:31 pm | Citizen TV 119 views Duration: 1:51 Wadau kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo madaktari, wanasaikolojia, washauri wa kifedha na wakufunzi wa mazoezi ya mwili, wazindua kampeni ya kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kudumisha afya bora.