Skip to main content
Skip to main content

Wadau Waelimisha Jamii Kufuatia Kuongezeka kwa Mimba za Mapema Kajiado

  • | Citizen TV
    370 views
    Duration: 3:18
    Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi na upili, hasa katika Kaunti ya Kajiado County, vimeongezeka huku wadau wa elimu wakisema ukosefu wa sodo na elimu kuhusu afya ya hedhi umechangia kwa kiwango kikubwa tatizo hilo.