- 370 viewsDuration: 2:42Wadau wa elimu wamehimiza serikali na vyuo vikuu barani afrika kuunda sera wezeshi za kujumuisha matumizi ya akili bandia, wakati wa uzinduzi wa hivi karibuni wa mpango wa kukuza ujuzi wa ai barani afrika katika chuo kikuu cha usiu.