13 Jan 2026 7:36 pm | Citizen TV 606 views Duration: 1:54 Siku moja baada ya runinga ya Citizen kupeperusha taarifa za baadhi ya wanafunzi waliofanya vyema na kushindwa kujiunga na sekondari ya juu, imekuwa furaha baada ya wafadhili kujitokeza kuwasaidia