25 Sep 2026 10:18 am | Citizen TV 306 views Duration: 2:11 Wafanyabiashara mjini Embu wanawataka wanasiasa na wafuasi wao kudumisha amani na kuvumiliana kisiasa, wakionya kuwa biashara huwa miongoni mwa sekta zinazoathirika kwenye ghasia za kisiasa.