- 584 viewsDuration: 1:57Wafanyabiashara wanaotegemea uchumi wa baharini katika kaunti ya Lamu wameitaka serikali kuweka wazi manufaa na changamoto zinazoweza kutokana na mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta unaohusishwa na mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote.