20 Aug 2026 1:49 pm | Citizen TV 576 views Duration: 1:45 Kufuatia mgomo wa wafanyikazi wa ukusanyaji ushuru na wale wa mazingira kaunti ya Taita Taveta, sasa wafanyibiashara katika soko la Voi wamelazimika kufanya usafi mjini humo ili kuondoa taka ambazo zimetapakaa.