Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wa mtumba walia na kodi Uganda

  • | BBC Swahili
    3,158 views
    Duration: 1:43
    Wafanyabiashara wa nguo za mtumba nchini Uganda wameonyesha wasi wasi wao kuhusu hatua ya bunge kuongeza kodi kwa bidhaa hizo. Baadhi yao wanasema huenda hatua hiyo ikasababisha wengi wao kulemewa na biashara. Mwandishi wa BBC Shuaib Ibrahim ameangazia hili #bbcswahili #uganda #ugandamitumba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw