28 Aug 2026 1:11 pm | Citizen TV 10,899 views Duration: 5:08 Wafanyabiashara wadogo jijini Nairobi wanaandamana kulalamikia ushuru wa juu wanaosema unatozwa na mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA. Kulingana nao, imekuwa vigumu kupata faida kwa sababu ya ushuru wa juu