Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wadogo Busia wapewa mitambo ya kuhifadhi samaki

  • | Citizen TV
    416 views
    Duration: 1:50
    Wafanyabiashara wadogo wa samaki katika mpaka wa Busia wamepewa vifaa vya kuhifadhi bidhaa zao. Mitambo hiyo inasaidia kukausha na kuhifadhi samaki kwa muda mrefu.