28 Aug 2026 10:22 am | Citizen TV 7,756 views Duration: 5:03 wafanyabiashara wadogo jijini Nairobi waandamana kulalamikia ushuru wa juu wanaosema unatozwa na mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA. Kulingana nao, imekuwa vigumu kupata faida kwa sababu ya ushuru wa juu