8 Sep 2026 10:43 am | Citizen TV 11,211 views Duration: 2:57 Wafanyabiashara wadogo wa kigeni jijini Nairobi wameingiwa na hofu huku maduka na vibanda kadhaa vikifungwa. Raia hao wana wasiwasi kuhusu agizo la Rais William Ruto.