- 1,682 viewsDuration: 2:29Muungano wa wafanyabishara mjini Embu umeelezea wasiwasi wake kuhusu hasara zinazosababishwa na maandamano ya mara kwa mara mjini humo . Wafanyabiashara hao wameapa kuchukua jukumu la kulinda biashara zao wakati wa maandamano ili kuzuia uharibifu zaidi na kulinda vitega uchumi vyao.