26 May 2026 10:10 am | Citizen TV 270 views Duration: 1:34 Serikali ya kaunti ya Bungoma yabainika kuwa ina wafanyakazi hewa zaidi ya 1,000 hali iliyosababisha baadhi ya maafisa wasimamizi katika vitengo husika kusimamishwa kazi kwa muda na uchunguzi kuanzishwa.