- 763 viewsDuration: 1:50Wafanyakazi wa kaunti ya Kitui wamekuwa wakikumbwa na wakati mgumu wa kugharamia mahitaji yao ya msingi, ikiwemo kuwarudisha watoto wao shuleni na kulipa kodi za nyumba, baada ya kukosa mishahara kwa muda wa miezi miwili sasa.