22 May 2026 1:23 pm | Citizen TV 558 views Duration: 1:27 Wafanyakazi wa kampuni ya maji kaunti ya Nakuru walisusia Kazi mchana kutwa kama njia moja ya kushinkiza kampuni hiyo kuwaruhusu kujiunga na Muungano wautakao.