23 Sep 2026 10:15 am | Citizen TV 465 views Duration: 2:05 Wafanyakazi wa Kaunti ya Machakos wameandamana wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao. Wafanyakazi hao walifanya maandamano wakitaka suala hilo lishughulikiwe.