25 Aug 2026 1:33 pm | Citizen TV 0 views Wafanyakazi wa mradi wa nyumba za bei nafuu wa Chesumei, Kaunti ya Nandi, wamegoma wakilalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao kwa kipindi mrefu .