25 Aug 2026 1:44 pm | Citizen TV 1,427 views Duration: 2:05 Wafanyakazi wa mradi wa nyumba za bei nafuu wa Chesumei, kaunti ya Nandi, wamegoma wakilalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao kwa kipindi mrefu .