19 Aug 2026 1:42 pm | Citizen TV 2,795 views Duration: 2:09 Wafuasi na viongozi wa vuguvugu la Linda mwananchi kaunti ya Bungoma wamelaani vikali viongozi waliopanga na kufadhili mashambulizi dhidi ya kikosi cha Linda mwananchi wakati wa ziara katika kaunti ya hiyo.