23 Sep 2026 10:52 am | Citizen TV 367 views Duration: 1:25 Bodi ya Maziwa nchini, imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wafugaji wa ng’ombe wa maziwa katika kaunti za Nandi na Uasin Gishu, jinsi ya kuongeza lishe ya mifugo.