Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Nyahururu walalamikia bei ya juu ya chakula cha mifugo

  • | Citizen TV
    404 views
    Duration: 2:06
    Wafugaji Nyahururu wamelalamikia gharama kubwa ya chakula cha mifugo, huku baadhi yao wakisema wanauza maziwa kwa mikahawa pekee kutokana na changamoto katika soko.