Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wa kuku Runyenjes wageukia mbinu bunifu kupunguza gharama na kuongeza uzalishaji wa mayai

  • | Citizen TV
    315 views
    Duration: 1:47
    Wafugaji wa kuku katika kijiji cha Wendani, eneo bunge la Runyenjes, kaunti ya Embu, wamegeukia mbinu bunifu ya kupunguza gharama ya chakula cha kuku huku wakiongeza uzalishaji wa mayai.