Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wa nguruwe kaunti za Magharibi wahamasishwa

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 3:17
    Wakulima katika eneo la Magharibi wamehimizwa kukumbatia ufugaji wa nguruwe kama njia mbadala ya kujipatia mapato, ikizingatiwa kuwa nguruwe wana faida kubwa wakilinganishwa na wanyama wengine wa nyumbani.