23 Sep 2026 1:32 pm | Citizen TV 429 views Duration: 1:34 wamiliki wa maeneo ya hifadhi ya wanyamapori huko Laikipia Magharibi, wameombwa kuruhusu wafugaji kulisha mifugo wao katika ardhi yao ili kuinusuru kutokana na makali ya njaa.