12 Oct 2026 10:21 am | Citizen TV 268 views Duration: 1:21 Wahifadhi wa mazingira katika kaunti ya kwale wanataka juhudi za kurejesha misitu ya mikoko ziambatane na ulinzi wa miche iliyopandwa ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira ya pwani.