Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya Kajiado wahamasisha umma kuhusu ugonjwa wa kifafa

  • | Citizen TV
    225 views
    Duration: 2:20
    Wahudumu wa afya ya jamii katika Kaunti ya Kajiado County wanaendelea kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa wa kifafa huku wakihimiza wakazi kutafuta matibabu hospitalini badala ya kutegemea imani za mila na dhana potofu zinazohusishwa na ugonjwa huo.