Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa Boda Boda waongoza kampeni za kisiasa za amani na kujitenga kutumika na kueneza chuki

  • | Citizen TV
    186 views
    Duration: 1:59
    Wahudumu wa boda boda pamoja na wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma kutoka kaunti ya Tana River wameamua kuogoza kampeni za kisiasa za amani na kujitenga kutumika na kueneza semi za chuki huku kipute cha uchaguzi mkuu ujao kikikaribia.