- 397 viewsDuration: 2:48Wahudumu wa usafiri wa umma katika kaunti ya Embu wameimarisha vita dhidi ya uendeshaji wa magari baada ya kunywa pombe, kwa kuanzisha vipimo vya ghafla vya pombe, ufuatiliaji wa karibu wa madereva na hatua kali za kinidhamu dhidi ya wanaokiuka sheria.