Skip to main content
Skip to main content

Waislamu waadhimisha sikukuu ya Eid Al-Adha

  • | Citizen TV
    7,210 views
    Duration: 4:54
    Waislamu kote nchini na duniani wamejumuika kwa Sikukuu ya Eid al-Adha ambayo ni ya pili na takatifu zaidi kati ya sikukuu kuu mbili za Kiislamu. wito wa umoja, ushikamano na uvumilivu wa kisiasa ulitolewa kwa wananchi. Katika kaunti ya Garissa wazazi na walimu wametakiwa kuwa waangalifu kuhusiana na ulanguzi wa binadamu . Ben Kirui anaangazia jinsi waislamu wameadhimisha sikukuu ya Eid al-Adha.