Skip to main content
Skip to main content

Wajir Kusini yapongezwa kwa kudumisha amani

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 1:25
    Wakazi wa Eneo la Wajir Kusini wamepongezwa kwa kudumisha amani na usalama licha ya kuwa eneo la linalopakana na Somalia, huku vijana wakihimizwa kuendelea kulinda utulivu uliopo.