Skip to main content
Skip to main content

Wajir yaweka mikakati kukabiliana na athari za El Niño

  • | Citizen TV
    381 views
    Duration: 2:06
    Kamati ya uongozi wa Kaunti ya Wajir imebuni mikakati ya kudhibiti athari za El Niño. Wadau wanatarajiwa kutathmini kiwango cha maandalizi ya kaunti kukabiliana na mvua hizo.