Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kiambu wakabiliana na madhara ya mgomo wa madaktari

  • | KTN News
    1,901 views
    Duration: 4:41
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Huku vuta n’kuvute baina ya madaktari wa Kaunti ya Kiambu na serikali ya kaunti hiyo ikiendelea, makali ya mgomo wa madaktari ambao umeingia siku yake ya 133 yanaendelea kudhihirika na kuwaacha wakazi na makovu. Kwa mara ya kwanza, KTN imezungumza na familia ambayo ilipoteza mtoto wao mwezi Agosti mwaka huu, wakati ambapo ilidaiwa kuwa takribani watoto 136 waliaga dunia kufuatia mgomo huo. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Gloria Milimu, serikali ya kaunti ya Kiambu imetupilia mbali idadi hiyo ya vifo, huku muungano wa madaktari KMPDU ukishikilia kuwa serikali za kaunti zimeshindwa kushughulikia suala la ajira tangu kugatuliiwa kwa sekta ya afya. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews