Siku chache baada ya tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini, EACC kupendekeza mashtaka dhidi ya aliyekuwa gavana wa bungoma, Wycliffe Wangamati na mbunge wa Webuye Magharibi, Dan Wanyama, kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 70 za umma, wakazi wa Webuye Magharibi wameungana kuukashifu ubadhirifu huo wakisema wakati umewadia kuwafungulia mashtaka wahusika wote wa ufisadi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya