Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wanaoishi kando kando ya msitu wa Kaptagat waandamana kupinga kuwekwa kwa uzio wa umeme

  • | NTV Video
    179 views
    Duration: 2:15
    Wakazi wanaoishi kando kando ya msitu wa Kaptagat katika kaunti za Elgeyo Marakwet na Uasin Gishu, wameandaa maandamano kupinga kuwekwa kwa uzio wa umeme, kuzunguka msitu huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya